[天下足球]20180319 贝利:球王传奇
Mandhari

Aikardi wa Jumieges (pia: Aichardus, Achard, Achart, Aicard, Aichard; Poitiers, 624 – 15 Septemba 687 hivi) tangu ujanani alikuwa mmonaki akaongoza kwa miaka 30 jumuia aliyoianzisha. Mwaka 684 aliachiwa na Filibati wa Tournus monasteri yake iliyofuata kanuni ya Mt. Kolumbani, akaiongoza kama abati hadi kifo chake[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa kila mwaka siku ya kifo chake[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Butler, Alban (1833), The Lives of the Fathers, Martyrs, and Other Principal Saints: In Two Volumes, Coyne
- Donnelly, Eleanor Cecilia (1910), Short Lives of the Saints, Benziger, iliwekwa mnamo 10 Agosti 2021
{{citation}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - "Saint Aichardus", CatholicSaints.info, Septemba 14, 2010
{{citation}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - "St. Aichardus - Saints & Angels", Catholic Online
- St. Augustine's Abbey, Ramsgate (1921), The Book of saints : a dictionary of servants of God canonized by the Catholic Church, London: A. & C. Black, ltd., iliwekwa mnamo 2025-08-14
- "Latin Saints of the Orthodox Patriarchate of Rome", orthodoxengland.org.uk, iliwekwa mnamo 2025-08-14
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |